Kundi la kigaidi la Daesh limewaachia huru mateka 49 wa uturuku waliotekwa kaskazini mwa Iraq.
Ahmet Davutoglu amesema kuwa ,mateka hao wakiwemo wanadiplomasia,wanajeshi na watoto walirudishwa hadi mji wa Sanliurfa uliyoko kusini wa Uturuki.
Mateka hao walitekwa na wapiganaji hao katika shambulizi la ubalozi wa Uturuki katika mji wa Mosul mnamo mwezi Juni.
20 Septemba 2014 - 09:13
Msimbo wa Habari: 638838
Kundi la kigaidi la Daesh limewaachia huru mateka 49 wa uturuku waliotekwa kaskazini mwa Iraq.